Umechelewa LYRICS By Mbosso
Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi
Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingiziUlikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula
Ulikuwa wapi mbona umechelewa
Mbona umechelewa mbona umechelewa
Mbona umechelewa mbona umechelewa
Nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi
Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi
Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa
Hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa
Kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha
Mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha
Mbona Mbona umechelewa Mbona umechelewa
Kijiti eeeh kijiti ooh kijitiYou might also likeZilipendwaDiamond Platnumzyes, and?Ariana GrandeAnuv Jain – Husn (Romanized)Genius RomanizationsKakishikashika kimemchoma kijiti kimemtoboa
Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti
Kama midomo chongeo kachongeni penseli
Mambo ya kwenye video si tunayafanya kweli
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
Unataka embe dodo ya nini urushe kote
Tingisha mti kidogo chini utaziokota eeeh
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
Wa mdondo wa mdondo huyo kuku wa madoa
Kamaliza mikorogo ngozi kujikoboa
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijitiUuuh mwafulani mwisho wako barazaniMwafulani ushoga wa zamani kuyajua ya chumbaniKijiti eeeh kijitiKakishikashika kimemchoma kijitiOdo Odo wangu oooh OdoNikidondoka unibebe Odo Odoo Odo
Mbosso – Umechelewa Full Song Lyrics
Leave a Reply