Tommy Flavour Ft. Marioo & Bayanni – Nakuja LYRICS

Nakuja Lyrics By Tommy Flavour Ft. Marioo & Bayanni

Kama ajali mie kwako nyang’anya

Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Nikamate Nikamate Nikamate Nikamate usinibwage

Baby let me be romantic hatulali we don’t mind them

Mmh navuta picha ulivyo teacher mambo joro joro

Mama bonita murembo mororo

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Kama ajali mie kwako nyang’anya

Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Ooh baby njoo njoo njoo kulosa

Uwooh wooh

Oooh baby come come come kulosa

Uwooh wooh

Kwani umeumbwa kwa udongo ama umefinyangwa kama dongo

Baby kwani umenipiga zongo walah uuuuh

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Kama ajali mie kwako nyang’anya

Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Kama ajali mie kwako nyang’anya

Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya

Tommy Flavour – Nakuja Ft. Marioo & Bayanni Full Song Lyrics

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*